MATOKEO YA DARASA LA SABA MWAKA 2024
Necta Result 2024 Is out Now
Wakuu matokeo ya mtihani wa darasa la vii kwa mwaka 2024 yametoka.
Matokeo ya Darasa la saba yatangazwa leo Oktoba 29, 2024 yaliyotangazwa na Katibu Mtendaji Baraza la Mitihani Necta Dkt. Said Ally, ambapo watahiniwa 974,229 kati ya wanafunzi 1,230,774 waliosajiliwa kufanya mtihani wamefaulu kwa kupata madaraja A, B na C.
Aidha, imeeleza kuwa kwa mwaka huu wa masomo 2024, ufaulu wa jumla umepanda kwa asilimia 0.29 na kufikia asilimia 80.87 kutoka asilimia 80.58 mwaka 2023.
Habari
Biashara
Michezo
Burudani
Makala
Safu
Maoni
Maktaba
Editions
The Guardian
Nipashe
Nipashe Jumapili
Nipashe
Habari
Kitaifa
Tazama hapa Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba (Psle) 2024
By Mwandishi Wetu , Nipashe
Published at 12:23 PM Oct 29 2024
Wanafunzi wakiwa katika chumba cha mtihani.
Picha:Mtandao
Wanafunzi wakiwa katika chumba cha mtihani.
“Jumla ya watahiniwa 974,229 Sawa na 80.87%, watahiniwa wenye matokeo wamefaulu na kumaliza Elimu ya Msingi 2024, hivyo ufaulu wa jumla umeongezeka kwa 0.29%, Kati ya watahiniwa hao wavulana ni 449,057 Sawa na 81.85% na wasichana ni 525,172 Sawa na 80.05%, hivyo ufaulu wa wasichana umeshuka kwa 0.53% na ufaulu wa wavulana umeongezeka kwa 1.26%”, Dk.Said Mohamed, Katibu Mtendaji NECTA
KLIKI HAPA MATOKEO MTIHANI WA DARASA LA SABA (PSLE) 2024.
MTIHANI WA DARASA LA SABA (PSLE) 2024.
Wanafunzi wakiwa katika chumba cha mtihani.
Habari Kuu
Mzee adaiwa mahari baada ya mwanawe kutokuzaa
Askofu Shoo ataja sifa kiongozi anayefaa Uchaguzi wa S/Mitaa
BAADA YA WANANCHI KUANDAMANA... Waziri atinga kijijini kukabili tembo wakorofi
Mikoa mitatu tu yanusurika mlipuko kipindupindu nchini
Naibu Waziri awaomba viongozi wa dini wasaidie kukabili kipindupindu, Mpox
e-GA yatakiwa kuendeleza ushirikiano na e-GAZ
Polisi yamdaka aliyetishia watu silaha, kujeruhi
Wanafunzi Hazina wamkosha Waziri wa Ulinzi
RC Iringa: Mafunzo ya tathmini ya ulemavu kwa madaktari yataboresha huduma kwa wafanyakazi
What's Your Reaction?






