Omaura Tz na VOICE YA MTAA LEO | UPDATE
Omaura Tz na VOICE YA MTAA LEO | UPDATE
Voice Ya Mtaa Leo Na Omaura Tz An artist who is doing well in SINGELI Music Within this month, he has released the song Zaid Ya Moja Na Kusema this week to come with a new song which he has named HAJANIZIDI. It is a very good song. Omauratz is becoming a THREAT. The song is very big and it was made by a big producer here in Tanzania. Omaura thanks youmany of his fans for supporting his music journey and his music in general. Let's be ready to get good food with protein and vitamins for your ears.
Swahili
Voice Ya Mtaa Leo Na Omaura Tz
Msanii Anaefanya vizuri kwenye Mziki wa SINGELI Ndani ya mwezi huu ameachia ngoma Zaid ya Moja Na Kusema Wiki hii Kuja Na Wimbo mpya Ambao ameupa Jina la HAJANIZIDI Niwimbo Mzuri sana Omauratz Azidi kuwa TISHIO Wimbo Nimkubwa sana Na umefanywa na Prod Mkubwa hapa nchini Tanzania Omaura anawashukuru sana mashabiki zake Kwa kuisapot safari yake ya Mziki na Mziki wake Kwa ujumla Tukae tayari Kupata Chakula kizuri chenye Protini na Vitamin kwaajili ya MASIKIO yako
Powered by
babaivansupply25@gmail.com
Fikisha habari Kwa mashabiki Zako na Baba Ivan Supply
Call +255 699 134 032
Powered by
babaivansupply25@gmail.com
Deliver news to your fans with Father Ivan Supply
Call +255 699 134 032
What's Your Reaction?






