UPDATE | Voice Ya Mtaa Na Asake Wabongo

1. Voice Ya Mtaa Leo Na Asake Wabongo Kuja na Wimbo mpya wa #Watoto Wa 2000
Voice Ya Mta LEOMusic artist Asake Wabongo is giving birth to a new song after releasing a hit Nying and appearing in big videos of big artists wasinger and bongo Freva including the youth of #harmonize_tz Hassan has not done anything #Stizo With this new #MejaKunta Hasani Remix featuring Freva Bongo Artists #Mabantu with #Chidybenzi and Dakota's song Mtu Atari #Siomwana If we stop knowing him, you are with Kweny, his songs are out and about today #Asakewabongo He has made it clear that his new song called WATOTO WA 2000 is a great song, it's not just a brainstorm, it's a very good song
READY To get good protein and vitamin food for your EAR Asake Wabongo has said that the song will be available on his YouTube channel search ASAKE WA BONGO and on the Nimoja Ya Baba Ivan Supply website
Voice Ya Mtaa LEO
Msanii Wa Mziki wakizazi kipya Asake Wabongo Baada ya Kuachia Hit Nying Na kuonekana Katika video Kubwa Za Wasanii wakubwa wasinger na wabongo Freva ikiwemo Ujana Ya #harmonize_tz Hassan hajafanywa kitu #Stizo Na hii mpya ya #MejaKunta Hasani Rimix Aliyo washirikisha Wasanii wa Bongo Freva #Mabantu na #Chidybenzi na Wimbo wa Dakota Mtu Hatari #Siomwana Tukiachana kumjua uko na Kweny nyimbo zake zilizo Toka apo nyuma Leo #Asakewabongo Ameweka wazi kuwa Wimbo wake Mpya unaoitwa WATOTO WA 2000 Ni wimbo mkubwa sana Sio bongo tu Adi mbele Niwimbo Mzuri sana
KAATAYARI Kupata chakula kizuri chenye Protini na Vitamin kwaajili ya MASIKIO yako Asake Wabongo amesema Wimbo huo utapatikana katika Channel yake YouTube search ASAKE WA BONGO na Kwenye Website Nimoja tu Ya Baba Ivan Supply
What's Your Reaction?






